GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Objektivu futiboo Cairo haitafanza kazi....Cairo hakuna kukosa kosa Magoli....Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na GENTAMYCINE Sports Club inafuzu kwenda Semi Final ambapo itakutana na asiyejua Mamelodi Sundowns FC pia itamfunga na kukutana Fainali na asiyejua kabisa Wydad Casablanca FC au Esperance Du Tunis FC na Kushinda hatimaye kuwa Bingwa na Kuchukua Mabilioni ya Fedha.
Sema Wewe Mkuu nikisema Mimi Ukweli naambiwa ni mwana Yanga SC....!!Objektivu futiboo Cairo haitafanza kazi....Cairo hakuna kukosa kosa Magoli....
Modesteeee atatupia Hat Tiriki....
Naziona Hamsa na zaidooooo....
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Wajinga mko wengi Sana pale utoObjektivu futiboo Cairo haitafanza kazi....Cairo hakuna kukosa kosa Magoli....
Modesteeee atatupia Hat Tiriki....
Naziona Hamsa na zaidooooo....
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sawa Ndg, Mbumbumbu...!Wajinga mko wengi Sana pale uto