The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kama ndo wewe ulipoteza fahamu ukapelekwa ICU mwezi February..
Ukafanikiwa kutoka na kupona mwezi wa nane...yaani miezi sita ulikuwa hujui
Nini kinaendelea nchi hii..
Ghafla unatazama TV ..Rais ni Samia..
Unajaribu kuuliza unaambiwa JPM alifariki..zinakuja habari za michezo ..
Msemaji wa Yanga Haji Manara....
Unaweza sema hukazinduka bado?Uko kwenye usingizi unaona mauzauza?
Umewahi kuwaza how hii miezi sita imekwenda Kasi sana Tz?