Kama uliwahi kuambiwa "Sitakuacha maisha yangu yote" tukutane hapa

Kama uliwahi kuambiwa "Sitakuacha maisha yangu yote" tukutane hapa

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Me nakumbuka niliambiwa hivyo na binti xxxxx wa kirangi ila sasahivi hata kusalimiana ni issue na hataki hata kuniona yani kwa kifupi hakuna mtu mwenye upendo na mwenzake.Katika mapenzi yetu niliwahi kumuunganisha hadi humu JamiiForums na nilishangaa sana kwenye uzi ya 'Andika chochote kuhusu mpenzi wako wa zamani' aka-reply "AKAFIE MBELE".Dah of course ile ilikuwa inanihusu mimi na nikagonga "LIKE" nikachapa raba.

Nikikumbuka maneno yake nabaki nashangaa tu..

Je unakumbuka nini ukisikia sentensi hiyo "Sitakuacha maisha yangu yote"?
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Niahaambiwa sana. Kichwa kikiwa kinagusa kule kunako au baada ya kumiminia shahawa za motomoto ukizingatia mlaji wa pilipili
 
Hayo maneno wanayaongea mshobobo ukiwakolea Na wakikutana Na mwenye kisu kikali zaidi yako wanakutosa kimyakimya.
Dawa ya mapenzi ya kibongo, USIWEKEZE moyo wako, Wekeza KUCHA Na nywele hata vikikatika vitaota tena
 
Back
Top Bottom