Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mimi Nimepita zaidi ya miaka 60 nimeshazitumia hizo pesa tangu Enzi wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere kisha akaja Mzee Wa Ruksa Marehemu Mzee Mwinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo za shilingi 100 ulitumia ya Mzee Mwinyi au baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?Nyingi nimezikuta kwenye matumizi ila 40 sijafika.
- Sh 10 ya noti sikumbuki kutumia
- Noti ya sh 100 hiyo ya mwisho sikumbuki kuikuta, ila 100 hiyo nyingine nimetumia.
Zilizobaki zote nimetumia.
Hujawahi Kuzitumia wewe ?hizi pesa mzee wangu anazo karibu zote hapo
Yenye hao graduates!Hizo za shilingi 100 ulitumia ya Mzee Mwinyi au baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?
Unataka kusema wewe siyo kile kizazi pendwa cha watoto wa miaka ya 2000!!Nimeikumbuka ile elfu 10 na 500 ya noti ya miaka 2005 hadi 2014 kama sikosei zilikua nzurii
Hizi hela zilitakiwa ziendelee kuwepo mpaka sasa! Ila ndiyo hivyo tena. Mabeberu wakaona watukomeshe, baada tu ya Mwalimu kuangukia pua na ile sera yake ya Ujamaa na Kujitegemea.View attachment 3009824
View attachment 3009827
View attachment 3009828
View attachment 3009829
View attachment 3009831
View attachment 3009832
View attachment 3009835
View attachment 3009836
View attachment 3009837
View attachment 3009839
View attachment 3009840
Mimi Nimepita zaidi ya miaka 60 nimeshazitumia hizo pesa tangu Enzi wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere kisha akaja Mzee Wa Ruksa Marehemu Mzee Mwinyi.
Siku itabidi nikuonyeshe cheti changu cha kuzaliwa ili dharau zipungueUnataka kusema wewe siyo kile kizazi pendwa cha watoto wa miaka ya 2000!!