Kama uliwahi Kuzitumia hizi Pesa basi wewe utakuwa umepita umri wa miaka 40

Nyingi nimezikuta kwenye matumizi ila 40 sijafika.
- Sh 10 ya noti sikumbuki kutumia
- Noti ya sh 100 hiyo ya mwisho sikumbuki kuikuta, ila 100 hiyo nyingine nimetumia.

Zilizobaki zote nimetumia.
 
Nyingi nimezikuta kwenye matumizi ila 40 sijafika.
- Sh 10 ya noti sikumbuki kutumia
- Noti ya sh 100 hiyo ya mwisho sikumbuki kuikuta, ila 100 hiyo nyingine nimetumia.

Zilizobaki zote nimetumia.
Hizo za shilingi 100 ulitumia ya Mzee Mwinyi au baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?
 
Weka na zile coin zenye tundu za mkoloni ili na sisi tujue tuna umri gani.
 
Mkuu nina 44 ila nimetumia zote..leo umenifurahisha kwanzaa Kwenye hiyo Mia mbili umeweka mara mbili mro anaweza asielewe ila mi kwamba zilikua mbili tofauti...kubwa na ndogo...
Halafu hiyo hamsini ya noti ilikua maarufu sana..na hiyo Mia nyekundu ilikua deal
Nimeikumbuka hiyo noti ya 20 ungeweka na ila ya shilingi 10...natumwa mafutataa ya thumni aisee...
Thanks bro for a good memories!
 
Hizi hela zilitakiwa ziendelee kuwepo mpaka sasa! Ila ndiyo hivyo tena. Mabeberu wakaona watukomeshe, baada tu ya Mwalimu kuangukia pua na ile sera yake ya Ujamaa na Kujitegemea.
 
200 ya mwinyi nmetumia
500 ya mwinyi nmetumia ila sna miaka40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…