Kama umeajiriwa wewe bado ni mtumwa na bado hujiamini, kama unajiamini jiajiri mwenyewe!

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Kama umeajiriwa wewe bado ni mtumwa kwahiyo bado hujiamini, kama unajiamini jiajiri mwenyewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Kina trump pamoja na kujiajiri na kuajiri mamilioni lakini bado wanakoswa koswa na risasi kuomba ajira kwa wananchi wa marekani. Embu tuondoke hapa
 
Being a president is ultimately a public service role. Despite the prestige, power, and wealth that may come with it, a president is fundamentally a public servant, elected to represent and serve the people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…