Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kilaji kinapigwa popote paleMatumizi mabaya ya kilevi, hasa kama wewe ni kijana.
Raha ya kilevi unywee huko huko ukiwa unawaona watu na watuu.
Alisikika mlevi mmoja akishukuruAsante mkuu
Ahhhh hiyo ndio raha ya pombe
Pamoja mkuu mlevi mwenzanguAsante mkuu
Mimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;Kama unataka kunywa kinywaji chenye kilevi ukiwa nyumbani hili usiboreke na kilaji kipande kwa raha mustarehe sikiliza ngoma hizi..
Ferre gola Kamustra
Ferre gola Kilo 100
Koffi papa plus
Koffi Magie
Koffi efrakata
Koffi malembe
Koffi ultimatum
Koffi micko
Jb feux de L'amour
Jb masuwa
Jb genrique
Jb titanic
Jb omba
Extra musica obligatoire
Extra musica losambo
Fally ipupa associe
Fally ipupa ndoki
Kwa hizi nyimbo kilaji kina shuka kwa raha
Kabisa kabisa..kwanza pombe ni starehe complete,kuwe na nyimbo kusiwe nazo pombe ina cover kila kitu...pombe ndio mziki,ndio chakula,ndio maji ndio kila kituWe si mnywaj,..mnywaj hachagui nyimbo,yeye nyimbo yoyote anacheza tu
Tears on my pillow unaiachajeMimi nikinywea nyumbani nakuwa na lengo la kutafuta tu usingizi hivyo ni mwendo wa;
1. Abba- I have a dream
2. Cindy lauper- time after time
3. Judy Boucher- can't be with u tonight
4. Roxette- it must have been love
5. Madonna- the power of goodbye
6. Daniel powter- a bad day
7. Avant- lie about us
8. J holiday- bed
9. Jason derulo- watcha say
10. Gym class heroes- stereo hearts
Kama unataka kunywa kinywaji chenye kilevi ukiwa nyumbani hili usiboreke na kilaji kipande kwa raha mustarehe sikiliza ngoma hizi..
Ferre gola Kamustra
Ferre gola Kilo 100
Koffi papa plus
Koffi Magie
Koffi efrakata
Koffi malembe
Koffi ultimatum
Koffi micko
Jb feux de L'amour
Jb masuwa
Jb genrique
Jb titanic
Jb omba
Extra musica obligatoire
Extra musica losambo
Fally ipupa associe
Fally ipupa ndoki
Kwa hizi nyimbo kilaji kina shuka kwa raha
Hiyo nikiwa safarini ndio naisikiliza Ila sio kwenye mondeTears on my pillow unaiachaje