Kama umechagliwa afya 2013/14 inakuhusu!!!

Kama umechagliwa afya 2013/14 inakuhusu!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Nafahamu wengi wenu mnasubiria barua za kujiunga na chuo huku tarehe za kujiunga zikikaribia bila ya kupata taarifa zozote ni lini barua zenu zitatumwa kwenye maboksi yenu ya posta ili mfahamu vitu vya kuzingatia kabla hamjaingia chuo,...

Taarifa za uhakika na zilizothibitishwa kutoka wizara ya afya na ustawi wa jamii ni hizi hapa:

Barua zenu ama admission letter hazitatumwa tena kwenye anuani zenu za posta kama ilivyozoeleka na badala yake taarifa muhimu za kujiunga na chuo ikiwemo fees structure zitawekwa kwenye website ya wizara siku ya ijumaa ambayo ni www.moh.tz!!

NB:Fuatlia website ya wizara kwa updates zaidi wala usihangaike kwenda wizarani maana utapewa majibu hayahaya!!!

Nawatakieni maandalizi mema,..
 
Back
Top Bottom