DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wanapenda sana vitonga wanataka wamkute mwanamume ana kila kitu lazima akunyanyase maana hauna mchango wowote kwenye mali zakeWenye pesa ni wanyanyasaji mno
Sindio wanaita kulilia kwenye Range Rover 😀😀😀Wenye pesa ni wanyanyasaji mno
Wana kamsemo kao ni heri kutesekea kwenye biem dabli yu kuliko kwa masikin, bas acha wakipate wanachokitakaSindio wanaita kulilia kwenye Range Rover 😀😀😀
Wakiondoka wakawa mtaani mnakuja kuwacheka ni single moms, walioshindwa kujenga familia wamekimbilia uhuru.Ukiitukuza ndoa hiyo ndiyo hasara yake
Utanyanyasika na kuondoka huwezi