hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Wakuu kwema
Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini
DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa wataalamu wa afya ilihitaji Madaktari wa meno 210 , ukizingatia kwasasa wanafunzi wa degree walio intern wa meno ni wa muhas tu ambao ni below 45, Mchas Wanafunzi wako mwaka wa pili bado kwani imeanzishwa hivi karibuni , hapo utajiuliz hao 210 wanatoka wapi?
Mshahara wake ni sawa na MD tu , na wote wanasoma miaka mitano
Radiology vilevile ni adimu sana, kiasi kwamba kabla hata hujamaliza ushawekewa order na hospitali za private kwahiyo nafasi zinabaki wazi nyingi sana huko serikalini.
Vyuo vinavyotoa MD kila mwaka ni vingi uhakika wa ajila upo chini sana.
Kabla hazija saturate hizo kozi ni muda wa kuwahi kuliko kubanana kwenye kozi tulizo nazo mazoea kama pharmacy, MD, Nursing nk.