Kitu kimoja ninachoamini kwenye maisha dream yako kuifikia japo nusu inawezekana. Kama wewe ni mpenzi wa magari japo hutaweza kumiliki benzi japo vitz utamiliki.Sawa, tufanye iko mbezi beach na umetumia material ya kufa mtu, is it untouchable?
Asante mkuu kwa kuonyesha uungwana.AM SORRY WANAWAKE WOTE,I REALLY MEAN IT SORRY!HASA HASA KWA MADAME ALIYEANZISHA HUU UZI..
Yeah, wadau niliowanukuu waliexaggerate sana, ndio maana nikawaswalika swali. Pamoja Sky!Kitu kimoja ninachoamini kwenye maisha dream yako kuifikia japo nusu inawezekana. Kama wewe ni mpenzi wa magari japo hutaweza kumiliki benzi japo vitz utamiliki.
Kama ni mpenzi wa nguo unaweza kumuliki mashati 300, na wala usishangae
Kama ni mpenzi wa nyumba nzuri it’s all about plans.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stooHahahahahahaha hapa nimeangalia ndani kwangu nimechekaaaa yaani jiko naliona hapa...vyombo...kabati la nguo yaani vyakula mweeeeh
unacheka wenzio eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stoo
Hapana na mm si niko kundi hilo hilo tu[emoji23][emoji23]unacheka wenzio eee
Hii ndio stage gan?kulala hotel in ama?
kweli mkuu hahahahaNyumba za hivi mkiwa dining vinasikika uma na kijiko na kelele ya sahani utaskia ngaa ncchaa viii
Wakati uswahilini kwetu utaskia we joji komba tu mboga jioni utakula maskio yako
Haaa haaa [emoji23][emoji23]Nyumba za hivi mkiwa dining vinasikika uma na kijiko na kelele ya sahani utaskia ngaa ncchaa viii
Wakati uswahilini kwetu utaskia we joji komba tu mboga jioni utakula maskio yako