Kama umefungwa KIROHO ili usifanikiwe tumia njia hii kujifungua

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu.
👇🏾
Atheists
God non believers
And religionist.

Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako.

Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza na majina yako .

Ukigundua kuwa wewe umekuwa mtumwa wa dunia hii haufanikiwi licha ya juhudi zako na maarifa basi jaribu kutumia hii mbinu.

Badilisha majina Kwa kuyavuruga vuruga mfano Kama familia yako na jamii nzima wanakuita Pascal Mpeli Mussa basi jiite Mussa pascal Mpeli.

Mbinu hii ndo mbinu nyepesi ya kujifungua katika laana ulizonenewa na watu wabaya.

Pia ikiwezekana Badilisha majina yako yote.

Jitahidi uelewe code mbali mbali ili usiwe mtumwa wa hii dunia.
 
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu.
👇🏾
Atheists
God non believers
And religionist.

Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako.

Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza na majina yako .

Ukigundua kuwa wewe umekuwa mtumwa wa dunia hii haufanikiwi licha ya juhudi zako na maarifa basi jaribu kutumia hii mbinu.

Badilisha majina Kwa kuyavuruga vuruga mfano Kama familia yako na jamii nzima wanakuita Pascal Mpeli Mussa basi jiite Mussa pascal Mpeli .

Mbinu hii ndo mbinu nyepesi ya kujifungua katika laana ulizonenewa na watu wabaya .

Pia ikiwezekana Badilisha majina yako yote.

Jitahidi uelewe code mbali mbali ili usiwe mtumwa wa hii dunia .
Kubadilisha jina ni moja ya way ya watu ku kana past zao, but its not easy
 
Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako.

Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza na majina yako .

Ukigundua kuwa wewe umekuwa mtumwa wa dunia hii haufanikiwi licha ya juhudi zako na maarifa basi jaribu kutumia hii mbinu.

Badilisha majina Kwa kuyavuruga vuruga mfano Kama familia yako na jamii nzima wanakuita Pascal Mpeli Mussa basi jiite Mussa pascal Mpeli .

Mbinu hii ndo mbinu nyepesi ya kujifungua katika laana ulizonenewa na watu wabaya .

Pia ikiwezekana Badilisha majina yako yote.

Jitahidi uelewe code mbali mbali ili usiwe mtumwa wa hii dunia .
Upo sahih, japo njia rahisi zaidi ni kulifunga jina lako.

Siku ulozaliwa hutumika, kufunga/kufungua maagano yote yanakuhusu.
 
Kuna kanisa liliwika hapo miaka ya nyuma kidogo liko mbezi beach, waumini wake walibadilisha majina sana yaani ilikua operation badilisha majina. Kuanzia birth certificate, vyeti na kila kitu. Lakini wale ninaowafahamu sijaona mabadiliko ktk maisha yao. Wengi wametoka juu na kushuka chini. Anyway mambo ya kiroho yana siri nyingi, vingine hatuvijui
 
Back
Top Bottom