Kama umelala peke yako kitandani ukigalagala kama nyoka pita hapa

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa.

Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine.

Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana moyo hasa katika utafutaji.

Ni hayo tu, Karibuni. 👏
 
Single tabu sana natak nimrudishe shemej enu
 
Tufarijiane jamani wale ambao hatuna wenza kwa sasa.

Tuambiane mambo mengine, yapi ya kufanya kwa ajiili ya kujifuraisha nayo kwa namna moja ama nyingine.

Pamoja na kwamba ni vyema sana na raha kuwa na Partner, lakini kama huna basi tubadilishane mawazo huku JF kidogo.. vibe, hamasa na kutiana moyo hasa katika utafutaji.

Ni hayo tu, Karibuni. [emoji122]

Unazurura whatsaap, Insta, Fb na QUORA kule usingizi u akuja tu

au during the day unafanya kazi sana na mazoez sana ikifika muda wa kulala unasinzia chap no stress
 
mazoezi ni mbinu ambayo hata mimi natumia.

ila mitandao ya kijamii kama fb na IG siipendi, inanivuriga akili zaidi.
 
"Niko single naenjoy..." Alisikika mlevi mmoja hivi akiimba.

Kiukweli u single unatesa hasa nyakati hizi za baridi
 
Back
Top Bottom