Kuna maneno ya msahafu yanasema .. Mpe kilevi mwenye tabu ANYWE ALEWE asahau shida zake!
Maisha yana changamoto na stress nyingi sana.. Ukiziendekeza utakufa uache wengine wanaendelea kufaidi..
Ukiona hakusomeki moja haikai.. Mbili haikai..jongea maeneo hata kama ni kwa mama muuza agiza hata kama ni ngumu kumeza utoe lock uione pepo ukiwa hapa hapa duniani
Usinywe kwa stress ukaanza kuwaza mabaya.. Kama uko maeneo na umeshalewa jongea hapa tupige story mbili tatu
Hakuna kitu kinafurahisha kama story za walevi.. Hebu jongea hapa tusimuliane
Jinsi tunavyowaona wanawake ni warembo baada ya kulewa.. Hapo kabla ya kutoa lock unawaona wabaya
Jinsi unavyomfukuza boss kazini 😂
Jinsi unavyoajiri😂
Jinsi unavyofunguka siri zako..nk
Pombe haitatui changamoto zetu lakini wakati tunasubiri ufumbuzi kutoa lock na kupiga story ni MUHIMU Sana..😂
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.