Kama umelock bios ya pc yako inatoka hapa(chizicomputer)

Kama umelock bios ya pc yako inatoka hapa(chizicomputer)

edjizzo

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
81
Reaction score
1
Chizicomputer
0712484995
majungu sitaki
wanajamii forum kama umelock bios ya computer yako na ujui password niambie nitakupa jinsi ya kufanaya
akuna lisilio wezakana kwani katengeneza nani
 
Mh! Mwaga mavituz mkuu utusaidie sisi tunao dandia garari kwa mbele. Nahitaji elimu hiyo kwani nilishawahi kuikimbia kesi kama hayo.
 
Chizicomputer
0712484995
majungu sitaki
wanajamii forum kama umelock bios ya computer yako na ujui password niambie nitakupa jinsi ya kufanaya
akuna lisilio wezakana kwani katengeneza nani
Weka hapa maana nimewahi kuwa muathirika
 
Back
Top Bottom