Robert S Gulenga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 2,255 Reaction score 1,565 Dec 18, 2023 #1 Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki. 1. Uwe unaishi Dar 2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida 3. Uwe unajua hesabu vizuri. Urgent. Tuwasiliane. +255 676 377 400 au rgulenga@gmail.com
Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki. 1. Uwe unaishi Dar 2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida 3. Uwe unajua hesabu vizuri. Urgent. Tuwasiliane. +255 676 377 400 au rgulenga@gmail.com
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Dec 18, 2023 #2 Weka na mshahara kabisa kwa hayo masaa mawili
I Igulu Bugomola Member Joined Apr 17, 2023 Posts 47 Reaction score 61 Dec 18, 2023 #3 Pokea simu kaka