Kama umeme ni mwingi upungue bei tupikie majiko ya umeme

Labda marehemu afufuke aje sahau hilo Tanzania ni nchi huru...
 
Yeah, wazo zuri ili kupunguza gharama za uzalishaji viwandani pia

Kila kitu kitashuka
 
Kumbuka kauli ya maharage kuwa umeme hautashuka bei Hata kama bwawa litakamilika, coz Wana Lipa ,fidia deni lilokopwa Kwa ujenzi wa bwawa,
Je Hilo deni ni kiasi Gani?😂,
Wa tz mnapingwa kweupe
 
Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya.

Pia Soma
- TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa
Nakumbuka siku inasainiwa mkataba wa ujenzi wa Julius Nyerere Hydroelectric Power, JPM alisema dhima yake ni kushusha bei ya umeme, alitoa list ya kila chanzo cha umeme na bei yake kwa Unit 1, huku akiahidi litakapokamilika atashusha bei ya umeme ili wananchi wengi waunganishiwe na pia iwe chachy ya watu kufungua viwanda vidogo vidogo vidogo.
 
Hayo yalikuwa mawazo mazuri ya JPM ila sasa waliopewa dhamana wao focus yao sio kukurahisishia maisha bali kukubinyeni kende hadi mufwe😂
 
JPM alifanya ujinga mwingi lakini kwenye umeme alikuwa seriously.

JPM ndiye aliyeondowa wizi wa service charge kila mwezi, Wahuni kina Mwigulu wameirudisha Kwa style nyingine.

Magufuli aliwapa ahadi Watanzania bwawa likikamilika bei ya umeme lazima ishuke.

Sasa Watanzania kama tunashindwa kuungana kwenye agenda za kitaifa hata hili kweli Watanzania tunashindwa kuungana kushinikiza bei ya umeme ishuke?

Tunategemea nani atupiganie? Hizi ndio agenda za Kitaifa za maandamano ya wananchi wote kuionesha serikali tumechoka.
 
Kuionesha serikali inakosea ni hatari sana kwenye taifa ambalo kupewa haki ni kwa kikundi flani tu chenye unasaba na watawala huku kajamba nani wote mkichukuliwa kama mifugo tu.
 
Back
Top Bottom