GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa
2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu
3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko
4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia wanawatumia hao hao Machawa wenu Kuwamalizeni kiurahisi
5. Kama unasali sana, Sali Kweli na kama unaroga mno Roga hasa ila kamwe usichanganye haya Mawili
6. Kuanzia sasa (Novemba hii) punguza Idadi ya Mahawara ulionao kwani wengi wenu mmepandikiziwa Maadui
7. Mnaopenda kutumia Usafiri wa Magari yenu (hasa kwa Safari Ndefu) hakikisheni mara kwa mara muwe mnafanya Uchunguzi wa Nati za Matairi ya hayo Magari yenu
Sasa wewe dhania tu GENTAMYCINE ninafanya Masihara hapa ila ukirudisha chenji Ndugu zako watakuja Kunipigia Saluti JF.