Kama umepoteza nguvu za kiume soma hapa

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,327
Reaction score
8,142
Habarini wanaume wenzangu
Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6.
Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara. Zoezi hili ni kengel excercise, kwa kweli zoezi hili ni gumu balaaaa kulifanya ni kama unazuoa mkojo kutoka sasa unatakiwa ubane kwa muda wa vipindi tofauti tofauti.
Inakatisha tamaa eeéh ila nakufundisha njia rahisi sana ya kufanya

Lala chali kwenye mkeka, then kunja miguu yako na unyooshe mikono yako kuelekea kiunoni. Nyanyua kiuno chako juu kadri uwezavyo na bakia hapo kwa sekunde 10 then shusha, rudia rudia angalau kwa robo saa fanya kila siku asubuhi na jioni
Baada ya wiki njoo ulete mrejesho.
 
Mmmh? Hapo si utakuwa unampelekea moto usiyemuona kakukalia juu? Mazoezi mengine hapana kwakweli!
 
Hazard
 
Mzee ni 60 na kuendelea! Hata serikalini unastaafishwa kwa lazima! Labda kazi za siasa ambazo hupimwa kwa sera!
 
Chanzo chako kikowapi? Kinaaminika yaani ni cha kitaalamu?

Sidhani kama kuna mtu anaejielewa atafuata ushauri wa afya kutoka kwenye chanzo holela
 
Tabu yote hiyo ili tu nikamfurahishe MTU ambaye namfurahisha kwa kumpa pesa.
Furaha ya mme ni kumfurahisha mwanamke ilihali unamgharamia mambo yooote ili akupe mbususu na malavidavi! Furaha ya mzazi ni kimfurahisha mtoto wake kadri ya uwezo wake ilihali anamgharamia kila kitu! Life is not fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…