Kama umetumia gari yako na unatamani kubadilisha tupia hapa wanajukwa tuone

Kama umetumia gari yako na unatamani kubadilisha tupia hapa wanajukwa tuone

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Uzi maalum kama umeshatumia kwa muda, labda umelichoka au unatamani kubadilisha tupia hapa watu waje PM tumalizane kuepuka cheni za wadau wengine

Hapa iwe kwa wamiliki tu, tupia gari unayouza akipatikana mdau basi mmalizane, mimi pia nitapitia kama nitaona inanifaa napita nayo,

Mtuwekee bei za kawaida basi tunaoanza kumiliki magari,
 
Nasubiri corolla old yenye 4e piston 4 full ac unaganda
 
Back
Top Bottom