Hekaya za abunuasi hizi sijui laana sijui mikosi. Miaka yote sijawahi kesha na mademu na sijawahi ona impact yoyote, jana nimekesha nae.
Kwamba wewe uliyekesha ukimchangia hela Mwamposa akajenge hoteli nyingine tukalipie tulale humo na wanawake ndio utafanikiwa kisa ulilala unapiga yowe? Tutakuona.