Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Wengi watapinga ila walishakosea either kutokana na giza au papara,

Sasa kama ulishawahi kukosea kuja utuambie reaction ya mwenzio ilikuaje?[emoji23] ulikula kofi au alikazia

Binafsi mimi sijawahi kukosea


IMG-20180503-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom