Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha hapa hata mimi naomba niwe msomaji tu[emoji23][emoji23] aisee! Naomba niwe msomaji zaidi
Watauhamisha ila hauna maneno makali[emoji23]Uzi wa JLW huu
Shem huna ushuhuda wowote hapa?Nasubiri waje waliowahi kukosea
Tumsubiri mbalizi hawezi kukosa la kusema hapaHahaha hapa hata mimi naomba niwe msomaji tu
Lazima atie neno la barakaTumsubiri mbalizi hawezi kukosa la kusema hapa
Nakumbuka tu bwana alievunja nazi kipindi cha mwanzoni alikua anakosea..kuna siku nikamzaba kibao hakurudia tenaShem huna ushuhuda wowote hapa?
Tia neno shem,,hata kama mr. alishakosea[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji114][emoji114][emoji114]
Ewaaa..hizi ndio shuhuda tunazotaka,wengi wanajifanya malaika hapaMimi huwa najikoseshaga makusudi
Hahahaha sasa si papara za kazi mpya lazima upagawe kidogoNakumbuka tu bwana alievunja nazi kipindi cha mwanzoni alikua anakosea..kuna siku nikamzaba kibao hakurudia tena
Ewaaa..hizi ndio shuhuda tunazotaka,wengi wanajifanya malaika hapa
Yna[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikua anakosea au anafanya maksudi?au na ye alikua mtoto hajui pa kuweka??Nakumbuka tu bwana alievunja nazi kipindi cha mwanzoni alikua anakosea..kuna siku nikamzaba kibao hakurudia tena
Mimi nikitia neno itakuwa balaaaaTia neno shem,,hata kama mr. alishakosea[emoji23]