D
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu pata picha dem kama Sanchi world anakutunuku, unamuweka mbuzi kagoma kwenda. Hujikoseshi kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu we jirani wewe.NgojaKuna siku Kulikuwa na battle fran iv ya wadada wa jf wanazinguana
Gafla tuu ukatoa kasaut kako ka upole jaman mi siwez ugomvi mtt wa watu ukawa mpole
Yan utapigwa na kosa ni lakeDemiss hapo anatafuta kutwanga ngumi sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenye nyumba atapiga simu polis
Naith hii dhambi ya kutelekeza my family niliyo ifanya ni kubwa ila kwakuwa nimeomba msamaha na kujua makosa yangu better ukanisamee mamaaSasa hivi wasema unafanana nae..mbona wakati wa preg ulinikana?
[emoji23] [emoji23] unajikuta umepita vichochoronHapana si Gizani ila ni Dyudyu linapokolea Vanga huwa tunapotezaga muelekeo na kuingia mdaroni
Vitu vingine tuseme tu ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisifia umetamnHata kusifia jaman japo najua kuna njemba inamtunza
Nisipo sifia nitakuja ambiwa mim mnafki
Napigilia msumari"Never miss the target"
Mwaaaahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]No comment Yna4
WanakeraMwanaume kisusisusi na mimi tofauti
[emoji6] [emoji6] [emoji6]Tulivaaje?
Moyo umeshtuka kusikia mwenye nyumbaIla Vingine sio mchoyo.
Iv umepata barua ya leo toka kwa mwenye nyumba ?
[emoji23] [emoji109]Kidogo tu kustua oblangata yake
Iv huu utundu wee na demiss nan kawafundisha jamanNi kubembea tu
Na hawakawii kugeuza kibao..kakukosea anakudunda na masamaha unaombaYan utapigwa na kosa ni lake