Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Sijawahi kwakweli..ila siku hzi mwili wangu unatamani kipigokipigo

Ndio maana nawataka wakurya
Vipigo vipo vya aina nyingo Yna4

Kuna baadhi ya vipigo vinakufanya umwage choz la thaman choz ambalo unaweza ukajihisi dunia mpo wawili tuuu

Choz ambalo ukilitoa aliye sababisha ukalitoa akichepuka tuuu bass Kwake ni laana
 
Mimi sitaki maneno hayo ulishayaongeaga kipindi kile na haukuyatimiza

Leta faini usamehewe..lasivyo utaishia kusema"nimefanana na huyo mtoto"
Najua unataka vitendo mamii

Ok nipo tayar kwa fyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…