Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #101
UchocheziiNakaziaaa umtwange na la kwangu
Bby hujaona chochote zaidi ya buku?Hilo buku hapo napata fungu mbili za mchicha...hembu lirushe huku[emoji23]
Mwizi usisingizie pombeMimi najut hadi leo kosa moja tu: nilikosea kumwibia bebi mama wangu. Yaani hoteli kalipa yeye, bia kalipa yeye, nauli kanitumia, then nimemla usiku kucha...asubuhi kulipokucha ile yuko bafuni mimi nikasepa na iPhone 7 yake. Zilikuwa ni pombe wadau naomba mnisamehe.....
DishYawezekana hii ni chai[emoji23]
[emoji23] naomba kujua ilikuajeNililambwa Kofi la Uso hadi nikaona Manyota Nyota kwa uso miezi 2 imepita aisee
Ni mwendo wa kutwanga tu wakikoseaNakaziaaa umtwange na la kwangu
Maana wanasusa wale watu sijui kwann jaman[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndo maana Sitaki wanyakyusaaa
Ambiele jilani acha tuNo comment jilan yangu
Demiss anakusalimia jilan
Nyie mkilewa huwa mnafunguka sana kunako 6*6Savvana ndo kibokoooo
Navuta picha tu baba anguBabe mbona unaongea ki experience sana?[emoji23]
Sana tu nachocheaUchochezii
Na meno namuuma kabisaNakaziaaa umtwange na la kwangu
Nimeiona ila haina viungo vya kutoshaYawezekana hii ni chai[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pesaaaBby hujaona chochote zaidi ya buku?
Nadhani ungemtwanga kichwa sasaAngerudia cha moto angekiona
Ah ah ah ah utamuweza usije anzisha nyuz humu siku nzima kuwa sema wanaume ili har ugomvi uliutaka mwenyeweBado nasubir hazard akosee nimtwange kofi
Kabisaaaaa tena kofi la takooooNi mwendo wa kutwanga tu wakikosea
Si unajua mautundu yakizi huwaga tunasahau shimo halisi lilipo???[emoji23] naomba kujua ilikuaje
Naomba usilewe mpaka wakubebeHilo buku umepata leo nimemokaaa asubuhi asubuhi nikitukana msishangae
Ngoja Kwanzaa nina appointment na mtu nitarud baaadaeMaana wanasusa wale watu sijui kwann jaman