Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Limeelekea upande upi eti?Dish
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jilan mbona ivyo jaman[emoji23] naomba tu nijue kama ulishakosea
Sijawahi na siwataki hataIv ushawah kukutana na mnyakyusa mam?
Na wengine ni wababeNi mwendo wa kutwanga tu wakikosea
Mtoto mhun sana ww duuuuhhKabisaaaaa tena kofi la takoooo
Ndio mida yenyew hii mama,,we pata tu hyo lunch[emoji23]Ngoja Kwanzaa nina appointment na mtu nitarud baaadae
Mmmmhhh kuna usalama kweri jaman mnmmhhNgoja Kwanzaa nina appointment na mtu nitarud baaadae
Sio 6*6 pekee babe,hata story za kawaida.Ukitaka kujua mashine ya kuongea ipo kwenye mdomo wa Jolie ni siku akilewaNyie mkilewa huwa mnafunguka sana kunako 6*6
Kurukana mapema hivi?Yakikugeuka mimi sipooo
KumbeeeeYani acha kabisaaaaaaaaaa siyo la kuuliza
Raha ya savanna bebe awepo..yani mambo yanakua burdaniiiNdo mana sipendagi kuzinywa kama babe yuko mbali
Chochea chocheaaaaaa[emoji444] [emoji444] [emoji445] (in mpoto's voice)Sana tu nachochea
Na ni ya baridiNimeiona ila haina viungo vya kutosha
Wanaume tunakufaga na mengi moyonNa jj akishakutwanga ilo kofi uje na uzi kichwa cha habari
"SITASAHAU SIKU NILIPOPIGWA KOFI NA MPENZI WANGU JJ"
[emoji23][emoji23]
Haha mim sikosei banaNa jj akishakutwanga ilo kofi uje na uzi kichwa cha habari
"SITASAHAU SIKU NILIPOPIGWA KOFI NA MPENZI WANGU JJ"
[emoji23][emoji23]
Anapenda pesa uuuyu,na uzuri anajua kuzisaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pesaaa
Kumbe na ww hamvumi lakin mmoNdo mana sipendagi kuzinywa kama babe yuko mbali
Namna hiyoNever miss the target.