Kama umewahi kupasha kiporo tukutane hapa

Kama umewahi kupasha kiporo tukutane hapa

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Kwa wale wote ambao hawana ujanja kwa ma ex wao wakitaka rematch,au kukumbushia enzi lazima unase tu kwa njia wanazotumia kwa sababu anakujua vizuri weakness na strength zako, tukutane hapa tupeane maujanja ya kuwakwepa wasituvunjie ndoa zetu.
 
Ndio muwe mnafkilia mmeachana miaka na miaka hujui mwenzako amepitia njia zipi huko aliko we ukikutana nae unawaza kupasha kiporo
Haha mimi nimewakilisha mawazo ya wengine tu,mim hapo ni kama mjumbe[emoji23]
 
Back
Top Bottom