Hahaha shem lakeNiache kula vitu fresh nile viporo..nimerogwa
[emoji3][emoji3] viporo vya siku hizi unaweza kuta vimeshachacha na funza kibaoHahaha shem lake
Mi mzim kabisa..[emoji23] [emoji23] naona unavikataa viporo,,,upo ushuani[emoji3][emoji3] viporo vya siku hizi unaweza kuta vimeshachacha na funza kibao
Vipi shem mzima lakini?
Wala usichepuke bebi unaweza nifanya nikakosa usingizi mwezi mzima kwa ajili yakoBby wew ndio wakwanza na wamwisho,,sasa nitapasha kwa nanii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niache kula vitu fresh nile viporo..nimerogwa
Swadaktaaa..ushuani ni mwendo wa kula vitu freshfresh tu..Mi mzim kabisa..[emoji23] [emoji23] naona unavikataa viporo,,,upo ushuani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nimekosea shoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ule viporo vya nini wakati vya fresh vipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nimekosea shoo