Ngatu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 263
- 185
Habari zenu wakuu .....naomba niende moja kwa moja kwenye mada ...juzi juzi nilikuwa nasoma investments habari nikabahatika kuona kumbe unaweza kukopa nikaclick then nikapewa contact pamoja na email nikawasiliana nao na nikajisajili badae tukaja mpaka kwenye kutuma accont number ndayopokelea mkopo. wakanambia mkopo wako umeshakuwa approved sasa natakiwa kutuma insurance fee kupitia wasternunion ili pesa yangu iwe safe na iweze kunifikia na wamenipa namba za mashuda waliowahi kukopa toka nchi mbali mbali nimewauliza wananambia ivo ivo ivo.Je ni kweli kwamba hiyo insurance fee unalipa mkopaji au kampuni ndio inagharamia