Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

We jamaa hii chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho Lazima

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila kama umejipanga zaidi, nakushauri huende hata kwa waganga watatu tofauti huko huko... mi nikienda huwa nakaa wiki Nzima, napitia waganga kama sita hivi [emoji16]

Waganga Wengine ukifika tu kituon ukiwauliza madereva boda boda watakuambia sehem nzuri, Tanga kuna wachawi, nikutakie kila la kheri na mafanikio.

, huyo niliyekupa anakupigia ramli, anakusafisha mwili na kukupandisha nyota, ukitoka hapo majiran zako watakujua we ni nani[emoji23].


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kwamba watamjua ye ni nani maana nyota itakua inawaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wengi washauliwa Mambo mengi bila kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]waja Wana mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siijui jiografia ya Tanga vizuri. Lakini kwakuwa najua kusoma na kuandika, sitapotea.

Mkuu. Specifically Ni wilaya ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume anaishije na mchawi bila kujua? Hapo pa fisi kukimbia pameniacha hoi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaongezaje nguvu au umri wa kuishi dadavua tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee [emoji17][emoji17][emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…