Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpk naogopa na hivi nasoma usiku huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpk naogopa na hivi nasoma usiku huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimetoka kucheki horror movie ya Kiuturki ya HABLIS. Saa 9 ya usiku nikacheki horror movie nyengine ya HUDDAM ya Turkey.

Usiogope bhana! Chukulia kama masimulizi ya hadithi au unatizama movies! Usiogope, muhimu ni kupata manufaa na kuweza kukuwezesha kuwafahamu walimwengu.
 
Wanaongezaje nguvu au umri wa kuishi dadavua tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Vifo asilimia nyingi vya watu husababishwa na watu sio asilia, so wengi huenda kujilinda kwa waganga na hivyo vifo na Yes kuongeza umri wa kuishi, lakini sio zaidi ya ule Mungu alioupanga mwanadamu kuishi (120).

Kuongeza umri namaanisha kinga, hawezi kudhuliwa na vitu vya ajabu ajabu au vifo vya kupangiwa na wanadamu. Utaishi as long as pale Mungu atakapoamua kukuchukuq


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tusifanye maisha ya hapa duniani yawe magumu. Ukiona mambo yamekua magumu sana , jaribu upande mwingine tu , kuna watu wanahangaika sana kwenye haya maisha , kuna watu wana laana Kali hapa duniani , sasa usipokua mjanja na kuhangaika sehemu mbali mbali , utakufa na laana zako , na hizo laana zitaendelea kuathiri kizazi hadi kizazi.

Ukiona mambo hayaendi kwenye imani yako , basi jaribu kwingine, ukiwa ns mentality Sijui kwenda kwa mganga dhambi , umekaa ukajiuliza una dhambi ngap mpaka apo ulipo? ,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ni kweli,vifo Vinci tunavyovishudia hivi Leo ,vingi si vile Mungu katupangia,kumbuka Mungu katuahidi 70-80 years ,hivyo Mungu hawezi kuwa mwongo kwa ahadi zake

Hivyo vifo vingi huwa ni mipango ya nguvu hasi (nguvu za Giza) so kuna namna ya kutumia dawa ili kukuepusha na nguvu basi,na kukufanya uzeeke

Kuna bibi frani huwa ni naye mazoea na ni mtaalamu wa madawa ya asili sana,ukimwangilia yuko na 100+ years na bado yuko ngangali,kuna siku kaniambia mjukuu wangu nataka nikuchanje dawa ya kutokufa mapema ili ufikie umri wa uzee,lakini alinitahadharisha kuwa ni mateso hii ni kulingana na yeye anavyoteseka kwani ana wish afe ili apumzike kwani amechoka kuishi

Hivyo nihitimishe tu kuwa dawa za kuongeza umri zipo na zinafanya kazi sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante kwa ushuhuda... Haya mambo yapo , wala sio hadithi, dunia Ina siri nyingi sana .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dunia ina mengi hii jamani.. Binamu nawe una elimu tosha.. Nimekusoma mpaka nikaanza kutafakari mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nishawai kuisikia mkuu mara kibao tu na pia kama usemavyo asilimia kubwa ya vifo uwa siyo mipango ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangari Maathai njoo Dadaa utuelimishe!
 

Kama movie vile aisee polen sana mashart yameumiza wengi sana waliokosea
 
Aaaah karibu binamu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu una madin mengi sana aitheee dats y I wish 1 day tuonane tupige story mbil tatu about maisha

Mi naamin uchawi upo sababu nipo karibu sana na boss wangu kuna baadhi ya mambo anafanya mpaka najihisi vibaya bt kwa nje mtu flan iv wakawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie we ulisalimika kwenye hyo dhahama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…