Niliona uvivu kuleta hili neno, ila sio mbaya kila mtu anabaki na imani yake na mwisho wa siku kinachompeleka mtu mbinguni au jehanamu ni matendo yake binafsi na sio ya mchungajiMathayo 24
23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
Ndio ushirikina huohuo boss wanguMsukule hautumiwi na mshirikina peke yake Mkuu,Mimi nilinunua Mara moja nikashindwa masharti nikamrudisha,so nikawa nalipa fedha kwa Mshirika(Mchawi) Nampa na eneo nalolitaka kufanyiwa kazi na si kilimo pekee kazi nyingi wanafanya tofaut na ulimaji.
Hapana Mimi si mshirikina mteja wao tu kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nmecheka mno[emoji1787][emoji1787]Kisa kingine....
Kuna mwalimu alimchapa mwanafunzi kwenye shule moja huko Shinyanga. Mwanafunzi akakimbia akilia mpaka nyumbani kwao. Akarudi akiwa ameshikilia kitu kimefungwa kwenye kitambaa chekundu akawa anamtafuta huyo mwalimu ampige nacho. Mwalimu alipoambiwa alikimbia na hakuwahi kurudi shuleni hapo tena na vitu vyake hata hakurudi kuvichukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi raha jamani [emoji7][emoji3526][emoji847]Mume wake hana Shida kabisa japo ndugu zake mwanzo walijitahidi kumfanya asifanikiwe kwa chochote kwakua aliwakatalia ila nae ana msimamo imani yake. .mungu si athumani sasahivi maisha yake mazuri na anataka wakaishi zao Kenya....sasa anashughulikia passport ya mama namtoto
Cc Smart911
Connection mzeeMsukule hautumiwi na mshirikina peke yake Mkuu,Mimi nilinunua Mara moja nikashindwa masharti nikamrudisha,so nikawa nalipa fedha kwa Mshirika(Mchawi) Nampa na eneo nalolitaka kufanyiwa kazi na si kilimo pekee kazi nyingi wanafanya tofaut na ulimaji.
Hapana Mimi si mshirikina mteja wao tu kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni mkuu msimame sana na Mungu qhaswa mdogo wako mwenyewe ajue kusimama na Mungu bila kusaidia wasaidizi (wewe)..... and huyo mtoto msimpeleke ukweni mkuu ataharibika sana tena sana maana watoto hawawezi simama peke yao.....Amina best mwanzo nilikua naogopa sana ila sasa nina ujasiri siogopi chochote kwani mungu yu pamoja nasi. .mpaka wakati huu ni kwa upendo wake tu .
Pia kingine baba mtoto nae ( shemeji) anasali sana kuombea familia yake Kwani hataki michanganyo ya waganga mara kanisani. .kuna kipindi dogo alikata tamaa akataka kwenda kwa waganga mumewe akamwambia akikanyaga kwa waganga tu wamewapa nafasi maadui ... anasisitiza wasali sana . ..sasa huyo kijana anataka amchukue mkewe ndo balaa lililopo kwasasa je kama ndugu yenu mtafanyeje ? ? Ukoo hauelewi cha ndoa wala nini. ..mtatuulia mwanetu. . Huyo mtoto tutalea vizuri tu binti yetu Harudi ng'o ..
Ukweni wanataka mjukuu wao akakae kwao kwa bibiyao mzaa baba ambao wajukuu wengine wote wapo huko eti damu yao haiendi mbali. Mpaka mtoto alelewe kwao .baba mtoto hataki mtoto akakae kwao anaenda kinyume na wakwao. . Kama ndugu yenu mngefanyeje? ?
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni mkuu msimame sana na Mungu qhaswa mdogo wako mwenyewe ajue kusimama na Mungu bila kusaidia wasaidizi (wewe)..... and huyo mtoto msimpeleke ukweni mkuu ataharibika sana tena sana maana watoto hawawezi simama peke yao.....
Na akikua mtoto kufikia kujua mema na mabaya basi mfundisheni sana kusali na kumjua Mungu kabla hajaingia sehemu mbaya....
hao ndugu watajaribu kumrushia magonjwa endapo mtoto asiposali na mama asipomfunika mtoto kwa maombi, nina binamu yangu aliolewa familia kama hiyo mtoto wake alianza tu kulalamika mama masikio yanauma na kuwasha, ikafika kipindi dogo mpaka umuite mara 2 ndo anasikia hali ikawa mbaya siku zinavyoenda hospital hawajui tatizo anaonekana yupo sawa.......basi kuna siku yule dogo aliombewa ilikuwa tafrani sana na alitapika vitu vya ajabu na maji yanayonuka sana yalitoka kwenye masikio dogo akapona na akawa mzima tu hadi now...
Msimame sana wangekuwa hawana huyo mtoto ungesema uwatenganishe ila kwa kufanya hivyo sahizi itakuwa kama kuwakatili wote 3 akiwemo na mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaAsante kwa ushauri mkuu Naamini hawawezi kuwafanyia chochote tena...
Mungu atawapigania mkuu
Cc Smart911
Mbona umepanick mkuu? ebu kunywa maji kwanza kidogo alafu ukuona vinakukela usisome.nyie na makanisa yenu ondokeni humu mnaprove n jinsi gani hamna uelewa na hayo makanisa yenu yamewachanganya tread inasema walioshuhudia nguvu za giza nyie mnaleta mambo ya mchungaji kwendeni huko muanzishe uzi wa mlioombewa mkatoa mapepo
GiningiKuna kipindi nilikua natumia Misukule mno,kulimia ila roho inanisuta mpaka nimewakimbia washkaji
ambao walikua wananiuzia
Machache usiyoyajua Gamboshi zipo mbili Kuna moja ipo Mwanza na nyingne Zanzibar eneo la Bumbwini.hata hivyo nimezoea kwenda hasa Gamboshi ya Mwanza kununua vifaa,misukule pamoja na Dawa mbalimbali kibiashara.
All in All sipo huko tena na sirudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba nimeamini alichoandika huyo ndugu....lakini pia sijui kwa nini katika jambo lolote linalotokea wengi wetu huwa tunapeleka sifa ni shetani, je utaratibu wa Mungu ni upi! Au unaka kusema Mungu anaformula flani....mie nawaza kama kuna lolote katika ushuhuda huu limeenda kinyume na neno la Mungu hapo sawa ila kama sivyo basi ile amani itawalayo na kupita akili zote iamue moyoni mwako.Kama upo kwenye imani hizi za mitume na manabii wa kisasa za mafuta sitashangaa haya uliyonena
Ila Mungu hawezi kukufanyia ujinga huo iwe matangazo anao utaratibu wake maalum
Pengine una pepo la utambuzi ndani yako unalolifananisha na Roho Mtakatifu
nyie na makanisa yenu ondokeni humu mnaprove n jinsi gani hamna uelewa na hayo makanisa yenu yamewachanganya tread inasema walioshuhudia nguvu za giza nyie mnaleta mambo ya mchungaji kwendeni huko muanzishe uzi wa mlioombewa mkatoa mapepo
Upande wa Giza unatambua sana maana ya mzaliwa wa kwanza,kitu ambacho watu wengi hawajui.Ndio kuanza kukemea sasa mimi na hao watoto hadi wa la pili masikini yupo tu toka kwa jina la yesuuu ..nikawa nawambia watoto wengine waendelee kuimba nyimbo za kuabudu huku wakubwa tunakemea kemea kemea badae tukaona yule binti akiwa bado yupo kwenye hali ya kupandwa na mapepo akawa anamnyooshea kidole Kachanga akiwa ameshikwa nahuyo wa form 3 huku anacheka sauti kubwaaa anamnyooshea huku anacheka ha ha ha Haa hapo watoto mbioooo nyuma yangu nawambia hii ni vita msiache kuimba na kusali pia msiogope mnaona Mungu ametuonesha vitu tulikua hatuvijui siku zote tulikua tunaishi nae dada wa kazi bila kujua haya yote.
Baada ya kuona hivo ananyooshea Kachanga na kusema shangazi unaona umeniponza sasa shangazi umeniponza nikaanza kumemea huku namuamuru aseme yeye ninani. . na anataka nini akawa kafumba mdomo kwa nguvu namuamuru aseme wapiiiiii. .amuru wapiiiiii. .Badae akasema tu ametumwa na shangazi yake Kachanga huku akitaja jina lake halisi ( dada wa mume wa dogo ) .tukaendelea kukemea badae akawa anasema ana njaa na amechoka anaomba chakula na maji ( sasa nikawaza njaa imetoka wapi wakati tulikula kabla ya kuanza maombi? ? kumbe pale hakuwa katika hali ya kibinadamu bali alikua na hali ya kishetani / kichawi ambayo walimpa kazi hio ya kuja kuua Kachanga usiku huo ambao tulikesha kwenye maombi ila ndio akakutana na moto wa yesu maombi makali na songombingo hizo na kuishiwa nguvu hivo kudondoka )
kwahiyo ile njaa na kiu ni kutokana na nguvu ya mungu iliyokua ikifanya kazi hivo aliishiwa nguvu. na mtu wa hivo au pepo ukimpa maji au chakula tu unamuongezea nguvu upyaa .. hatukumpa chochote na baadae aliishiwa nguvu kabisa akawa kama anasota kuelekea ukutani kwenye kona ya sebule na kisha kushtuka kama mtu aliyekuwa usingizini akiwa na akili ya kibinadamu huku akitushangaa na kulalamika mbona a najisikia amechoka sana viungo vyote ??
hapo saa 11 asubuhi nikawaambia wote tulale. .tulilala hapohapo sebuleni tulitoa magodoro ila watoto walikuwa wanamkimbia na kumuogopa sana houseg hata kama yupo kwenye hali ya kawaida ya kibinadamu wakimuona mbioooo.
kesho yake Nikamwambia twende kanisani tukaenda.
Huko sasa alikuwa na mapepo kama 7000 hivi. .kumbe huyo houseg nae kwao ni wachawi. .wale wachawi nuksiiii walimuombea akasema yoooote aliyowafanyia . .( aliweka dawa na hirizi chini ya kitanda anacholala mama na mtoto kilasiku , aliwalisha dawa kwenye chakula nyingine alimuwekea kachanga kwenye kiganja cha mkono wa Kushoto usiku kiuchawi -hii usiku huo alikuja kuelekezwa na shangazi mtoto wakamuwekea mtoto ili atakapotimiza mwezi mmoja kamili waje kumchukua kiuchawi kwa urahisi )watu aliowaua watano Kachanga alikua wa 6 ila ameshindwa. .ilichukua wiki nzima akiwa kanisani huko huko alikua na madude mengi sana. .ambayo wakati anaombewa kila mmoja alikuwa anaongea sasa upande wa kwao binti na shangazi Kachanga. ..
yaliyotushangaza ni ya wifi mtu upande wa ukweni kwa dogo huko aliyetaka kumuua kwa kumchukua kiuchawi mtoto wa kaka yake kwakua kaka yake huyo ( baba Kachanga )alikataa kushirikiana nao katika mambo yao ( ya kichawi )
Muda mrefu sana walimwambia kuungana nao lakini alionekana kutovipenda / kuchukia hayo mambo ya kichawi na hataki hata kuvisikia wakati kwao ukoo ulimchagua na kumuona yeye ndiye mwenye nyota na anafaa kuwaongoza lakini alikataa hivo watawasumbua mke na watoto wake ..
pia sababu nyingine ni kwakua Kachanga alikua mtoto wa kwanza ..wachawi wanaita watoto wa kwanza nikama lango sijui lango la wapi hata ndiomana huenda kuchukua watoto wakwanza..... pia mtoto huyo Ana nguvu sana lakini pia watoto na vijana wa kiume wanapendwa na wachawi kwakua wana nguvu nyingi tofauti na wanawake hivo husaidia kazi nyingi huko kuzimu pia husaidia kunyanyua wazee wasio na nguvu huku kuzimu hivo angemchukua Kachanga angemlea mpaka angetimiza miaka 13 au 14 ( sikumbuki vizuri )angeanza kumtumia
itaendelea
Cc Smart911