Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kwa nyama ya binadamu wale wakuu wa wachawi wao hupenda kichwa na matiti eti ndo vitamu sana na ni kwa ajili yao wakuu tu
kwa maelezo ya huyo hg wangu


Cc Smart911
Kichwa Ni kwa ajili ya supu,matiti na maini Ni nyama laini,Mara nyingi wakuu huwa ni watu waliokwenda na umri kiasi,nyama nzuri na laini iwafaayo ni hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana..
Kuna siku niliona mtoto wa miaka mitatu naa...wa jirani..alifanya kosa...mama yake akamfungia chumbani ili kumtisha.....asirudie kosa!

Haikuzidi dakika mbili yule mtoto akatokeza nje na mlango mzima mzima
kumuuliza umevunjaje mlango ukatoka...kajibu aliusukuma tu kwa nguvu!
Walinipeleka kwa wachungaji na mashekhe kuombewa, ila amna kilicho tokea, kuna shekhe mmoja sahivi ni marehem alisema hua inatokea baadhi ya binadam kuwa na uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bwana ulimwacha mke kwa kuwa kawa mbwa usiku mmoja tu km na yy alitumika na wachaw huoni km ulimuonea? au kuna tukio lingine lilijitokeza.
Sure mkuu. Huenda mchawi alimfanya amuone mke wake ni mchawi kumbe wala. Alichofanya mtoa mada cha kumuacha mkewe ni upungufu wa imani wa kiwango cha juu sana. Akiota yeye mwenyewe kageuka mbwa atajikataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ikoje hii ila from my experience ya biashara Hawa misukule iko ya Aina mbili
Kuna ambao hula kwa kudonoa donoa,au wanakula kupitia upande wa juu wa kiganja

Aina ya pili Ni wale wanaokula Kama tunavyokula sisi hula ktk upande huu mweupe wa viganja.

Sababu ya kutofautishwa hivyo Ni kutokana na matumizi ya Aina ya msukule pamoja na kazi zake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufika ukauziwa musukule wa kulimia ina maana na wewe ni mshirikina,je huko mwanza gamboshi iko wilaya gani, wanapokuwa wamalima hao musukule wewe wawaona live au unapeleka order then unakuta shamba limelimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni makubaliano Kati ya wewe na mshirika(Mchawi).
Kuwaona ndiyo lazima uwaone na uchague yupi ana afya na atafaa kwa shughuli utakayoitaka.

Kuwasimamia hapana ila utaenda kutazama ikiwa wamefanya Kama ulivyotaka wanajisimamia wanapangana kazi ,muda wa kazi utakapoisha watarudi/watarudishwa mahala wanapohifadhiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu hili swala mkuu,Hivi mkuu ni kweli kuwa wachawi hula nyama za binadamu au stories tu,na je hula binadamu wepi,wafu au walio hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami ntafutie kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…