Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako


= porini

Ikiwa wewe ni Mwalimu nikisema mnawasomesha ujinga watoto wetu nakosea?

"If such are the priests, God bless the congregation".
 
Siraha = silaha
 
Fact, yani akienda popote wenzake wanamtambua tuseme kama epassport na gps at the same time
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hayajakukuta ...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie na makanisa yenu ondokeni humu mnaprove n jinsi gani hamna uelewa na hayo makanisa yenu yamewachanganya tread inasema walioshuhudia nguvu za giza nyie mnaleta mambo ya mchungaji kwendeni huko muanzishe uzi wa mlioombewa mkatoa mapepo
Mhh, Mkuu mbona povu. Mi sijaona ubaya hapo. Maana wameconnect hayo makanisa na nguvu za giza walizofanyiwa. sasa tatizo lipo wapi. si wanatoa na solution. Au ulitaka salution iwe kwamba walienda kwa waganga wa kienyeji. ukiona unachukia sana mambo ya MUNGU au unakereka sana ukisikia habari za MUNGU basi ujue kuna tatizo mahali
 
Nilijua we mcha Mungu kumbe bado unahusudu ushirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…