Ha ha ha nyie watu mmenichekesha sana, mi mbona nimesoma lote fresh tu. Na baadae ntasoma kwa sauti mwanzo nilisoma kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ana forced labour wanalima bila ujira maheka na kuvuna bila cost anauza mazao anapata mafaida unadhan alikuwa anajiskiaje ?...[emoji3] burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ye anachojua wakati huo amepewa cheap labour hajui cha binadamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Burudani kumtumia binadamu mwenzio kichawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ye anachojua wakati huo amepewa cheap labour hajui cha binadamu
Hio ndo traditional slave trade
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Hadi nimeogopa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hayo mahindi niliyolima nayakula kwa Raha zote kabisa!!!Siku umekodi ma heka makubwa ela za kuwapa vibarua walime ,wapalilie ,wavune zimekuishia hutoogopa tena wewe tena ndo utakuwa na ujasiri wa kununua hawa cheap labour na mijeledi utawachapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti; naomba usimulie kidogo ilikuwajeNiliwahi..zaidi ya kushangaa..baada ya kugundua mwenzetu mmoja hana kivuli!
Shkamoo... binadamu!
Alikitafuta mpaka mifukoni .. ...masikini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwafugi wewe wala kuwalisha yaan we umenunua wafanye kazi shambani tu halafu ukicheki bila hivyo unaingia hasara na umekopa benki lazima huo ujasiri uje [emoji3]Halafu hayo mahindi niliyolima nayakula kwa Raha zote kabisa!!!
Yahitaji ujasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata km hufugi weweHuwafugi wewe wala kuwalisha yaan we umenunua wafanye kazi shambani tu halafu ukicheki bila hivyo unaingia hasara na umekopa benki lazima huo ujasiri uje [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata km hufugi wewe
Sasa si Bora nikodi ng',ombe au watu wa kawaida wakalime
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivi miaka kadhaa huko nyuma wakati nme ajiliwa mgodini nlizua msala kazini na kwa situation ilivyo kua nlikua sichomoi hio kesi evidence zote zilikua wazi ina nlikua nasubir tu hearing ya kesi nipigwe termination basi bwana nlikua na ka demu kangu nikakaambia hio issue kaka niambia kua kuna fundi mmoja huko ushirombo anaweza ku solve hio kitu mimi sikua mtu wa kuamini hayo mambo lkn maji yalikua shingoni ikabidi niende nikatoa shariti sitaki chale kwenye mwili wangu basi tukafika nika mueleza yule mzee akanipa mafuta ya kupaka na vimizizi flani akaniambia siku ya hearing nijipake hayo mafuta nikinuia maneno then nikifika kwenye kesi nitafune vile vimizizi kama karafuu hivi wakati naongea story ni ndefu kidogo acha niikate inshort kesi nlichimoa,
Sababu yule mzee aliniambia hio dawa naweza ingiza mtu box siku moja nlikua nme kwama nna shida na hela kuna jamaa mmoja nlikua najua ana hela ila jinsi ya kumuomba ni ngumu maana ni bahiri balaa nikatumia ile ile kitu ya babu nikamface jamaa yaan kiki moja tu tukaenda bank akanitoa hela.
Ya mwisho kuna demu mmoja tulikua tuna fanya nae kazi alikua ana cheo kunizidi inshort alikua kanizidi kila kitu nlisha omba sana anachomoa ikabidi nitumie ile kitu ya babu aah mapema sana nikang'oa chombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naskiaga tu almaarufu kwa jina la ndere ila naskiaga ikiisha makali unakataliwa hadi na kuku utakuwa na gundu balaa baada ya kuenjoy kwa mda hiyo ndo inaitwa price hapo ndo unalipia [emoji3]
All magic comes with a price..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] shaur yako kilimo ndo uti wa mgongo wa taifa hili hapa natakeleza hapa kazi tu
ngoja nimwambie mtoa mada aniazime hao misekule [emoji3] kama mia hivi naona msimu wa mazao upo njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtafute yule wa misukule..
Na wewe una roho ya ujasiri hivyo ya kuweka kutumia misukule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rumpelstiltskin A.K.A The Dark One...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..