Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Jifunze kuandika vizuri Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo mmoja alikuwa anasoma shule X siku moja akaamka kwenda kukojoa toka kwenye kitanda cha bweni lake mpaka chooni, choo kilikuwa kwa nje .. Kakojoa na usingizi machoni ile anarudi kitandani anajikuta amelala yaani anamkuta mtu kavaa kama yeye na ana sura kama yeye amelala kitandani ...kelele zake ziliamsha bweni zima however kila akimsimulia mtu hakuna aliyeamini, alihama yule dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 



😀😀😀😀dah ila wachawi wanavituko sometime.
 
Hueleweki.
 
Nakumbuka mwaka 1997 nikiwa bado chalii katika shule x mkoani dar es salaam kulikua na vyoo vya shule ukienda chooni kugonga mlango wa choo unasikia sauti ya mwanamke subiri na mvalisha mwanangu nepi
Mpaka sasa kuna mauzauza ila sio sana kama zamani .

Mwaka 2018 hapo hapo maeneo ya shule x Kuna chalii wangu mpaka sasa yupo kama kadata hivi alikutana na mwanamke jini kwakupenda totoz sana nitakuja na story yake.

Pia maeneo hayo ya shule kuna mbuyu wafungwa walikuja kukata kilicho wakuta mpaka leo mbuyu upo ila wafungwa wamekufa .

Nimepitia mauzauza mengi mno
Nakumbuka mwaka 2009 usiku wa mwezi wa ramadhani nikiwa mzima wa afya tele majira ya saa 7 usiku nilishtuka dogo ananishtua tukale daku nikanyanyuka nasogea mpaka sebureni ambapo palikuwa na mwanga mkali wa taa aisee ndugu wananishanga upande wa mwili wangu umepakwa unga chakushangaza zaidi ni kuwa alama za vidole vya mkono vilivyoshika unga vikionekana vipo kifuani ( kumbuka dar es salam kulala kifua wazi ni kawaida) basi kwakua ni siku ya mwezi wa ramadhani kama tunavyo amini ibilisi na washirika wake ufungiwa nikajifutafuta kwa kujiamini ndio tatizo likaanza hapo mkono na mguu wa upande nilio pakwa unga unga nikalemaaaa hapo hapo ndugu wakaanza kulia usiku mpaka pana kucha aisee
Mungu ni mwema



Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLE baada ya kupooza ghafla ulipona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya ramadhan hua ikoje mm mwenyewe kuna mama tulikorofishana kwenye maswala ya biashara akaniambiaga nimuombe msamaha kabla ya ramadhan la sivyo nitakiona.....mimi nikapotezea maana nikaona sina kosa ananiletea ubabe tu ishu siku inaanza ramadhani siku ya kwanza kabisa hali ikaanza kubadilika baadae nikawa kama kichaa ila uzuri nilikuja kukaa sawa baada ya maombi ila ilichukua kama mwaka mzima
 
Mkuu haya mambo ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naogopa na huu uzi wako umechochea hali hiyo najuuta kuusoma maana mauza uza mengi yaliyosimuliwa nikiwa peke yangu hasa usiku kama nayaona yote

Niko Kigoma
Maaaaaamamamamamamamamamamamamamamaaaaa huko ndo kuna KIWANDA CHA JUTENGENEZEA MAJINI KIPO KIGANZA KWA MAMA MPOLE...majini yote ni made in HUKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuleni nyama acheni upoyoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta nacheka dah!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…