Kama umewahi kusikia sikia wanasema "Mabeberu, Mabeberu" Ndo hawa Hapa Sasa

Kama umewahi kusikia sikia wanasema "Mabeberu, Mabeberu" Ndo hawa Hapa Sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Toka miaka ya nyuma kwenye siasa na historia utasikia wanasema mabeberu hivi, mabeberu vile... sasa leo tumefanikiwa kupata picha ya mabeberu.

images (2).jpeg
 
Toka miaka ya nyuma kwenye siasa na historia utasikia wanasema mabeberu... n.k sasa leo nmeyakuta mabeberu yakijadiliana jambo.

Umewahi sikia serikali inasema inayachukia na kuyaogopa mabeberu?

Leo Jionee mwenyewe mabeberu.View attachment 978316
Yani hawa kwenye picha wamewashinda wazarendo wanaoiba rambirambi na matusi juu. Wamewashinda wazarendo wanaoiba Zaidi ya Trilioni 1.5
 
Back
Top Bottom