Kama umewahi kusikia sikia wanasema "Mabeberu, Mabeberu" Ndo hawa Hapa Sasa

Toka miaka ya nyuma kwenye siasa na historia utasikia wanasema mabeberu... n.k sasa leo nmeyakuta mabeberu yakijadiliana jambo.

Umewahi sikia serikali inasema inayachukia na kuyaogopa mabeberu?

Leo Jionee mwenyewe mabeberu.View attachment 978316
Yani hawa kwenye picha wamewashinda wazarendo wanaoiba rambirambi na matusi juu. Wamewashinda wazarendo wanaoiba Zaidi ya Trilioni 1.5
 
Beberu huwa ana sifa kuu kadhaa ikiwemo ubabe, kujiamini na uking'ang'anizi (usumbufu). Halafu mbaya zaidi huwa hata mmiliki wa mbuzi jike anamsaidia beberu kufikia malengo yake (beberu). Tusiwe upande wa beberuπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…