Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Leo, hapa acha tuangalie tabia zinazohusishwa na watu waliozaliwa mwezi Septemba.
Watu hawa wanajulikana kwa uchangamfu wao na uwezo wa kujichanganya na wengine, na mara nyingi wanatajwa kuwa na marafiki wengi.
Pia, ni watu wanaojituma na huwa makini, kuhakikisha wanakamilisha majukumu yao kwa wakati na kwa usahihi.
Septemba babies pia wanadaiwa kuwa na adabu, maadili mema, na ukarimu. Wanapenda kujaribu mambo mapya na kujifunza vitu vipya.
Zaidi ya hayo, ni wavumilivu na wenye busara wanaposhughulikia mambo yao, huku wakionesha mtazamo wa kipekee na utulivu.
Baadhi ya watu maarufu wa Tanzania waliozaliwa mwezi huu ni pamoja na Wasanii wa Bongo Flava Ben Pol na Dogo Janja, aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na mwanasiasa Zitto Kabwe
Wengine ni Waziri Mkuu wa zamani na Makamu wa Kwanza wa Rais Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, na Angellah Kairuki ambaye amewahi kuwa Waziri wa Wizara mbalimbali nchini.
Haya, Septemba Baby, unazo hizi tabia hapo au we mwenyewe unajishangaa?