Napenda kuwatangazia kuwa kiwanja kinauzwa, Taarifa za kiwanja [emoji116]
[emoji117] Mahala - Kata ya Mjimwema, wilaya ya Kigamboni, Dar es salaam.
[emoji117] Ukubwa ni mita 60 ×mita 50
[emoji117] Kimepimwa kwa urasimishaji, mawe yamesimikwa.
[emoji117] Hati bado haijatoka.
[emoji117] Matumizi ya ardhi ni makazi na biashara
[emoji117] Ardhi yake ni tambarare, kuna minazi 10, miembe 2, imezungushiwa fensi yenye kozi 8,
[emoji117] Nishati ya umeme na maji yamefika.
[emoji117] Taarifa za umbali:
-KM 8 kutoka kivukoni ferry
-Mita 60 kutoka barabara kuu ya rami
[emoji117] Bei: 70,000,000 Tshs
[emoji117] Piga sasa : +255 746 47 48 49
+255 712 34 77 49
[emoji116]Kwa wanaopenda viwanja potential hichi sio cha kukosa.
[emoji116]Picha
View attachment 2536551View attachment 2536553View attachment 2536554View attachment 2536556

- Mita 500 kwenda kituoa cha afya Mjimwema
- Mita 700 kwenda bahari ya Hindi
- Mita 500 kwenda ofisi za kata na serikali ya mtaa na kituo cha polisi ( vimejengwa eneo moja)