M MtoMsimbazi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2009 Posts 2,076 Reaction score 3,564 Apr 16, 2025 #21 Wachina wengi ni futi 5,and sio wanene so kwa maisha yao hio style inawafaaa,kibongobingo tafuta kitanda cha kuhama,mchana kabati ucku kitanda aka multitask hio ndio njia pekee or ukiwa na mwili Mdogo pia sio mbaya
Wachina wengi ni futi 5,and sio wanene so kwa maisha yao hio style inawafaaa,kibongobingo tafuta kitanda cha kuhama,mchana kabati ucku kitanda aka multitask hio ndio njia pekee or ukiwa na mwili Mdogo pia sio mbaya