Ni ngumu sana mtu kuqualify vyote hivi. Kuna vingine hapo huja kwa vipindi fulani tu kwenye maisha na kudisappear.
Ni ngumu sana mtu kuqualify vyote hivi. Kuna vingine hapo huja kwa vipindi fulani tu kwenye maisha na kudisappear.
Kwahiyo ukiwa kwenye episode mojawapo basi tayari?
Bila walokole afute tu hili tambalaOngezea na
Kuwa shabiki wa simba na Yanga
Umeshafuta mapini ya Man Fongo kwenye flash yako?Kupenda nyimbo za singili nayo ni dalili kubwa sana ya gonjwa la akili.
Tayari.Umeshafuta mapini ya Man Fongo kwenye flash yako?
Basi umepona, hatuendi tena DodomaTayari.
Nimefurahi kusikia hivyo.Basi umepona, hatuendi tena Dodoma