Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka wapi mkuu?Nina cret 1 la Coca-Cola, nakuuzia kwa 10k, nakutumia kwa gharama zako.
0713449460 tuwasilianeWakuu habarini za jioni.
Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane.
Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.