Kiumbe duni
Senior Member
- Dec 3, 2011
- 100
- 8
Siku zote ukiona kiwanja au nyumba inauzwa bei rahisi namna hii jua hakijapimwa, ila hati miliki ipo. Kuweka picha haitakuwa na maana sababu kwa bei hii ni lazima ndani ya wiki hii itauzwa.thanx mkuu, sasa je hilo pagale/nyumba ina hati?? au ofa?? pia weka picha yake kabisa kama front,back, side views.
pia weka na contact zako au zitume thru tukuyum@yahoo.com
Siku zote ukiona kiwanja au nyumba inauzwa bei rahisi namna hii jua hakijapimwa, ila hati miliki ipo. Kuweka picha haitakuwa na maana sababu kwa bei hii ni lazima ndani ya wiki hii itauzwa.
Thanx, basi nipe contact zako tufanye dili.
Ningekuwa dar ningechangamka faster,
watu wa dar hapo ndo kujikomboa.
HAKUNA BABA AU MAMA MWENYE GARI, ILA MWENYE NYUMBA-"mpoki"
Eneo 22/20 lomejengwa nyumba yenye vyumba viwili kimoja ni master, jiko, stoo, siting room na choo cha public ndani linauzwa. Nyumba hii bado kupaua tu, ipo bunju b mita 200 toka bagamoyo roa, unaenda na barabara iendayo Mabwe pande. Kutoka barabara ya Mabwepande ni mita 40. Inawafaa watu wa kipato cha chini sababu kiwanja kimebana. Bei ni M 9 haipungui hata kidogo. Wahi kabla hujawahiwa.
Ningekuwa dar ningechangamka faster,
watu wa dar hapo ndo kujikomboa.
HAKUNA BABA AU MAMA MWENYE GARI, ILA MWENYE NYUMBA-"mpoki"