Kama una magazeti used mengi ninanunua

Kama una magazeti used mengi ninanunua

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH.

Hata kama una kilo 1000 niambie nitanunua zote, hata ukiwa na tan 10 za gazeti ninanunua kwa kilo shilingi elfu moja, mwenye nazo aje PM chap.

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahah mkuu magazeti yote unafanyia nini hayo?
 
Back
Top Bottom