Kama una mpango kando daktari, basi asikutibie mumeo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hebu kutana na huyu mwanamke mke wa mtu lakini alikuwa na mpenzi daktari.

Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, daktari alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa
Jamaa: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu
 
so antaka jamaa asepe ale uhondo na doc eeh!
 
Hebu kutana na huyu mwanamke mke wa mtu lakini alikuwa na mpenzi daktari.

Jamaa alikuwa anaumwa sana mkewe akamwita daktari, daktari alipofika akamkuta jamaa kafumba macho;
Dokta: Huyu mbona amekwisha kufa
Jamaa: Sijafa bwana
Mke: Hebu nyamaza bwana acha kubishana na wataalamu

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ama kweli ndoa ndoanaaaa................
mwanamke ana roho ngumu huyo..
 
msibishane na wataalamu, ameshakufa huyo, kwani ww ukifa unajua utakuwa katika hali ipi?
 
Back
Top Bottom