Kuenda ulaya ni njia nyingine ya maisha ya kigoma hapa nyumbani ila kumbuka umri mzuri wa kuzamia Ulaya ni 18 to 35......ndo unaweza kuhimili mchaka mchaka ya kuzamia na kujifunza maisha upya.
Tafuta skills mbalimbali hapa nchini kabla ya kuenda ujizu kama plumbering, painting kunyoa na kusuka electronics bedcure upishi wa sherehe nk. Hizo kozi zina patikana kwa bei ya kawaida hapa kwetu, hakikisha unapata verified certifications zako. Kumbuka ukiwa utafutaji wa kibarua mzungu wa Marekani ata kuuliza what can you do? Mzungu wa wingereza atakuuliza what are your qualifications?, Mtazania atakuuliza umeletwa nani?/ au wewe ni ndugu wa nani?
Skills zenye certificates huwezi kukosa $500 kwa wiki hata kama bado uko shelter au camp unasubilia majibu ya documents zako. Usiangaike na flat degrees za bongo kama BA procurement and marketing BA in human resource Bsc chemistry nk hizo ni bure.