October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Father kweli yametuua kwa vipande vya fedhaMwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka. Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni na mnigee jibu. Tangu mauaji yale mmesikia askari yeyote akijiudhulu? Si hamjasikia mwabisha kitu gani mkiambiwa huyo dugu yako polisi ni muuaji. Afu usoni achake kama bikila Maria. Nye Nye nye.! Watu wabaya nyie. Na bado
Wakimaliza kutuua sisi, wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe, historia uwa haidanganyi…lazima watapishana na ngazi zitapandwa…(cc. Julius Caesar)Mwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka.
Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni na mnigee jibu. Tangu mauaji yale mmesikia askari yeyote akijiudhulu?
Si hamjasikia mwabisha kitu gani mkiambiwa huyo dugu yako polisi ni muuaji. Afu usoni achake kama bikila Maria. Nye Nye nye.! Watu wabaya nyie. Na bado
Usiwaamini hata akiwa mwanao, shemeji y'all ama wifi yako ...they are murderers
Wakimaliza kutuua sisi, wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe, historia uwa haidanganyi…lazima watapishana na ngazi zitapandwa…(cc. Julius Caesar)