Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,275
- 2,060
Sijaelewa, fafanua mkuusimple like that
Wadhamini wapo wa kutoshavijana mnarahisisha maisha. jaribu kufikiria ilivyo rahisi kumwambia mtu akupe pochi yake yenye milioni 2.5 umshikie na hamjuani....!
Njoo PMWakuu salam.
Nahitaji pikipiki Boxer kwa mkataba.
Si lazima iwe mpya, hata kama imetumika,ila iwe katika hali nzuri.
Kama inahitaji matengenezo,tutazungumza.
Napatikana mabibo, Dar es salaam.
Aliye nayo tuwasiliane kwa namba:0764224662
Mkuu naona kwako nakosa option ya kukutumia msg.Njoo PM